Uchumi na Fedha
Mwenendo wa masoko ya hisa, sarafu, na habari za hivi punde za kiuchumi.
Wakala wa uchambuzi
Kadi inaonyesha idadi ya viwanja (offers) vilivyo na ripoti ya hivi karibuni kwa kila wakala. Bofya kuchagua kiwanja na kusoma ripoti (Markdown).
Market, Mitandao ya kijamii na Habari: ripoti wazi bila akaunti. Fundamentals na wakala wengine wanahitaji usajili wa bure kuona ripoti.
Wakala wa Uchambuzi
Wakala wa Utafiti
Dawati la Biashara
Wakala wa Hatari
Uamuzi wa Mwisho
Kinachotokea
PSSSF yawatambua wastaafu 7,881 kutekeleza kaulimbiu ya ‘Tunalipa Jana’
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umewatambua wanachama 7,881 wanaotarajiwa kustaafu katika mwaka wa fedha 2026/27, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha wanapata mafao yao kwa wakati kupitia kaulimbiu ya ‘Tunalipa Jana’. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa …
BoT: Economy resilient amidst global headwinds
TANZANIA’S economy is recording strong and stable growth despite persistent external pressures linked to global geopolitical tensions, top officials say, Emmanuel Tutuba, governor of the Bank of Tanzania (BoT), made this affirmation in remarks after a recent monetary policy commi…
Waziri wa Fedha ashiriki Mkutano wa African Caucus wa mwaka 2026
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameongoza ujumbe wa Tanzania katika ufunguzi wa Mkutano wa African Caucus wa Mwaka 2026, jijini Banjul nchini Gambia, uliofunguliwa na Rais wa nchi hiyo Adama Barrow, ambapo msisitizo mkubwa umewekwa katika Bara la Afrika kuongeza uwezo …
TRA yawapatia wahasibu elimu mabadiliko ya Sheria za Kodi 2026/27
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewapatia Wahasibu elimu ya mabadiliko ya sheria za kodi, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa masuala ya kodi kwa Wahasibu. Akizungumza katika semina ya utoaji elimu ya mabadiliko ya Sheria za kodi 2026/27 kwa Wahasibu, Afisa Mwandamizi Msimamiz…
Waliojiajiri wahimizwa kujiunga na Hifadhi Skimu
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeendelea kuimarisha juhudi za kupanua wigo wa hifadhi ya jamii nchini kwa kuwahamasisha wananchi waliojiajiri kujiunga na Hifadhi Skimu, huku ikiwahimiza waajiri wenye malimbikizo ya michango kunufaika na msamaha wa tozo uliotolewa na m…
Balozi Omar kushiriki mkutano wa Afrika Caucus Gambia
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amewasili Banjul nchini Gambia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa African Caucus wa 2026, unaoanza kufanyika leo ukiwakutanisha viongozi wa Afrika, watunga sera, wataalamu wa fedha, washirika wa maendeleo, na wawakilishi wa taasisi za kima…
Wananchi wahimizwa kujiunga na bima ya afya
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umewataka wazazi, walezi, waajiri na watu binafsi kuhakikisha wanajiunga na mfuko huo, kwa kuwakatia watoto wao bima, ili kujikinga na gharama kubwa za matibabu na kuwawezesha kupata huduma bora za afya kwa wakati. Ofisa Matekelezo wa Mfuko …
BoT raises central bank rate to 6.25 pct to contain inflation
The Bank of Tanzania (BoT) has slightly adjusted the central bank rate (CBR) for the quarter ending September to 6.25 percent from 5.75 percent of the previous quarter aiming at containing inflation among other economic shocks. Emmanuel Tutuba, BoT Governor said that the Monetary…
US provides $3.1bn in health sector ventures
THE United States has agreed to a five-year Memorandum of Understanding (MoU) to disburse $3.1bn to strengthen health cooperation, where the Tanzanian government commits $1.8bn for the same programmes. Health minister Mohamed Mchengerwa witnessed the signing along with Jeanne Cla…
Vikundi 28 vyanufaika na mikopo ya asilimia 10
umla ya vikundi 28 vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu katika Manispaa ya Iringa vimefanikiwa kupata mkopo wa asilimia 10 wenye thamani ya Sh milioni 402 kwa kipindi cha robo ya nne ya mwaka wa fedha 2025/2026 (Aprili hadi Juni). Akizungumza katika hafla ya kukabidhi hundi…
Exploring the Rise and Challenges of Forex Trading in Tanzania
This article delves into the journey of forex trading in Tanzania, discussing its growth, the experiences of traders, and the challenges they face in the financial market. Key insights from an industry expert highlight the evolution of trading practices in the country.
Transformative Insights from a Network Marketing Success Story
In a recent podcast episode, a prominent network marketer shares his journey, emphasizing the importance of dreams, decisions, and mentorship for achieving financial freedom. He reflects on personal challenges and the pivotal choices that have shaped his success.